wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

CHEMSHABONGO -1

Total questions: 15

Worksheet time: 8mins

Name
Class
Date
1.

Kipi kati ya hivi si kiungo cha mapishi?

a)

bizari

b)

ndizi

c)

pilipili

d)

kitunguu

2.

Geuza katika wingi: Mkate nilioula ulikuwa mtamu.

a)

Mikate tulizozila zilikuwa tamu.

b)

Mikate niliyoila ilikuwa mitamu.

c)

Mikate tuliyoila ilikuwa tamu.

d)

Mikate tuliyoila ilikuwa mitamu

3.

Mtoto wa chui huitwaje?

a)

shibli

b)

kinegwe

c)

kisui

d)

kiluwiluwi

4.

Mwenye ujuzi wa kusanifisha na kusahihisha makala k.v ya magazeti huitwaje?

a)

mhariri

b)

malenga

c)

tarishi

d)

mhazili

5.

Pesa za matumizi ya kila siku hasa safarini ni _________

a)

marupurupu

b)

masurufu

c)

arbuni

d)

bahashishi

6.

Jina wanaloitana dada yake mume na mke ni ____________

a)

mwamu

b)

umbu

c)

mkoi

d)

wifi

7.

Kamilisha: Shuleni _____________ mna maji.

a)

huku

b)

humu

c)

hapa

d)

mumo

8.

Pazia _______________kwenye dirisha

a)

limening'inia

b)

zimening'inia

c)

imening'inia

d)

umening'inia

9.

Mdudu akaaye kwenye nywele na nguo chafu huitwaje?

a)

chawa

b)

funza

c)

kunguni

d)

kiroboto

10.

Kamilisha methali: Baada ya kisa ______________

a)

faraja

b)

mkasa

c)

kitendo

d)

mkosi

11.

Majira ya mvua ndogondogo huitwaje?

a)

masika

b)

kipupwe

c)

kifuku

d)

vuli

12.

Andika kinyume cha: Mfalme bahili amerudi.

a)

Malkia bahili ameenda.

b)

Malkia karimu hajarudi

c)

Malkia karimu ameenda.

d)

Malkia karimu amerudi.

13.

Mtu anayefanya kazi ya kufua vyuma huitwaje?

a)

sonara

b)

mjumu

c)

mwashi

d)

mhunzi

14.

Maneno haraka,polepole,upesi, sana, chapuchapu ni mfano wa _____________

a)

vivumishi

b)

vielezi

c)

vitawe

d)

viwakilishi

15.

Saruji ni tandiko la farasi. Saruji pia ni ______

a)

simiti

b)

mbolea

c)

hori

d)

changarawe

Similar Resources on Wayground