wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili

Total questions: 11

Worksheet time: 6mins

Name
Class
Date
1.

1.Shikamoo?...............................................................................

a)

Nzuri

b)

Marahaba

c)

Sijambo

2.

Hujambo?.....................................

a)

Sina la kuamba

b)

Sijambo

c)

shikamoo

3.

4. Waambaje?....................

a)

Sina la kuaamba

b)

Njema

c)

Habari

4.

Andika kwa nambari

Ishirini

a)

12

b)

20

c)

25

d)

30

5.

Sita

a)

6

b)

9

c)

56

6.

Andika kwa maneno

12

a)

kumi

b)

kumi na tano

c)

kumi na mbili

7.

Andika kwa maneno

8

a)

nne

b)

moja

c)

nane

8.

Taja mnyama huyu

a)

Ndovu

b)

Paka

c)

Simba

9.

Taja Kifaa hiki

a)

Upanga

b)

Shoka

c)

Jembe

10.

Hiki ni ____________________

a)

Kijiko

b)

Sahani

c)

Kisu

11.

Hii ni .....................

a)

kikombe

b)

sahani

c)

kijiko