WorksheetsMATUNDA
Total questions: 10
Worksheet time: 6mins
Name
Class
Date
1.
shikamoo
a)
nzuri sana
b)
marahaba
c)
poa sana
d)
kwaheri
2.
hii ni nini?
a)
shati
b)
kaptura
c)
rinda
d)
kofia
3.
haya ni matunda gani?
(a)
4.
hili ni tunda gani?
a)
machungwa
b)
tufaha
c)
embe
d)
ndizi
5.
5+2=
a)
saba
b)
nne
c)
tatu
d)
tano
6.
mnayama yupi anapenda kula ndizi?
a)
simba
b)
tumbili
c)
tembo
d)
paka
7.
hili ni tunda gani?
a)
ndizi
b)
embe
c)
tikitimaji
d)
tufaha
8.
unaishi wapi?
a)
ufaransa
b)
kenya
c)
marekani
d)
uswisi
9.
vazi lipi si la wavulana?
a)
kofia
b)
rinda
c)
suruali
d)
kaptura
10.
karibu kenya!
a)
kwaheri
b)
nzuri sana
c)
sawa
d)
asante
100 %
