WorksheetsVifaranga 102 8
Total questions: 15
Worksheet time: 8mins
Name
Class
Date
1.
Hujambo?
a)
Poa
b)
Sijambo
c)
Mambo
d)
Si poa
2.
Shikamoo?
a)
Maba
b)
Sijui
c)
Marahaba
d)
Nzuri
3.
Habari gani?
a)
Nzuri sana
b)
Asante
c)
Kwaheri
d)
Kesho
4.
Uko na miaka ngapi?
4 lines
5.
Unaishi wapi?
a)
Kenya
b)
Nairobi
c)
Marekani
d)
Kwetu
6.
Hii ni nini?
a)
Kiti
b)
Jiko
c)
Sijui
d)
Kitanda
7.
Hii ni nini?
a)
Moto
b)
Kupika
c)
Jiko la
umeme
d)
Televisheni
8.
Hii ni nini?
a)
Moto
b)
Jiko la
umeme
c)
Kuwaka
d)
Mtoto
9.
Hii ni nini?
a)
Kalamu
b)
Penseli
c)
Chaki
d)
Kitabu
10.
Hii ni nini?
a)
Vidole
b)
Macho
c)
Sikio
d)
Kidole
11.
Unatumia nini kuona?
a)
Sikio
b)
Mkono
c)
Macho
d)
Kichwa
12.
Unatumia nini kutembea?
a)
Mkono
b)
Masikio
c)
Miguu
d)
Sijui
13.
Wewe ni?
a)
Hakuna
b)
Msichana
c)
Baba
d)
Mvulana
14.
Unaitwa nani?
a)
Abari
b)
Seth
c)
Abigail
d)
Sijui
15.
Kwaheri...
a)
Mambo
b)
Shikamoo
c)
Marahaba
d)
Kwaheri ya
kuonana
100 %
