WorksheetsSOKA
Total questions: 10
Worksheet time: 6mins
Name
Class
Date
1.
habari za asubuhi?
a)
poa
b)
nzuri sana
c)
sijambo
d)
kwaheri
2.
leo ni siku gani?
a)
alhamisi
b)
ijumaa
c)
jumamosi
d)
jumapili
3.
mchezaji huyu anaitwaje
a)
mshambulizi
b)
mabeki
c)
kipa
d)
mwamuzi
4.
huyu anaitwaje?
a)
mabeki
b)
mwamuzi
c)
kocha
d)
mshambulizi
5.
kadi hii ni rangi gani?
a)
manjano
b)
nyekundu
c)
nyeusi
d)
nyeupe
6.
mchezaji anayefunga mabao anaitwaje?
a)
kocha
b)
mwamuzi
c)
golikipa
d)
mshambulizi
7.
timu ya soka ina wachezaji wangapi?
a)
22
b)
11
c)
10
d)
12
8.
hili ni tunda gani?
(a)
9.
jezi hii ni ya timu gani ya mpira?
a)
barcelona
b)
chelsea
c)
arsenali
d)
Manchester
10.
vazi hili la kuchezea mpira linaitwaje?
a)
shati
b)
kaptura
c)
glovu
d)
viatu
100 %
