WorksheetsWAKATI HURU
Total questions: 10
Worksheet time: 6mins
Name
Class
Date
1.
HAKUNA MATATA ina maana gani?
(a)
2.
tunapoenda kulala tunamsalimu vipi?
a)
habari
b)
lala salama
c)
hujambo
d)
sasa
3.
watoto hawa wanafanya nini?
a)
wanacheza ngoma
b)
wanasoma
c)
wanaimba
d)
wanacheza
4.
hawa wanafanya nini?
a)
wanalala
b)
wanacheza ngoma
c)
wanapiga tizi
d)
wanateleza barafuni
5.
watu hulala katika sehemu gani ya nyumba?
a)
jikoni
b)
sebuleni
c)
uwanjani
d)
chumba cha kulala
6.
watoto hawa wanafanya nini?
a)
wanakata miti
b)
wanaosha uwanja
c)
wanaokota taka
d)
wanasoma
7.
chakula hiki kinaitwaje?
a)
nyama
b)
samaki
c)
wali
d)
ugali
8.
hawa wanafanya nini?
a)
wanafanya usafi
b)
wanapika
c)
wanaogelea
d)
wanalala
9.
hii ni nambari gani?
a)
sabini na tisa
b)
sitini na saba
c)
tisini na saba
d)
tisa
10.
wakati huru huwa siku gani sanasana?
a)
jumatano
b)
alhamisi
c)
ijumaa
d)
jumamosi
100 %
