wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

FAMILIA

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

unaishi wapi?

a)

kenya

b)

marekani

c)

shuleni

d)

kanisani

2.

leo ni siku gani?

a)

jumanne

b)

jumatano

c)

alhamisi

d)

ijumaa

3.

huyu ni?

a)

nyanya

b)

babu

c)

shangazi

d)

mjomba

4.

huyu ni?

a)

babu

b)

nyanya

c)

mjomba

d)

shangazi

5.

dada ya mama anaitwaje?

a)

mama

b)

shangazi

c)

mjomba

d)

dada

6.

kaka ya baba utamwitaje?

a)

shangazi

b)

mjomba

c)

nyanya

d)

kaka

7.

Dylan ni nani kwa Seth?

a)

kaka

b)

baba

c)

mjomba

d)

babu

8.

mtoto wa shangazi ni?

a)

mjomba

b)

nyanya

c)

kaka

d)

binamu

9.

hii ni nini?

a)

ndege

b)

basi

c)

matatu

d)

pikipiki

10.

hii ni nini?

a)

tufaha

b)

machungwa

c)

maembe

d)

nanasi