Wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

SWAHILI (-ANGU NA -ETU)

Total questions: 10

Worksheet time: 6mins

Name
Class
Date
1.

Chagua wingi wa sentensi hii:


Mwalimu wangu ni mrefu.

a)

Walimu wangu ni warefu

b)

Walimu wetu ni warefu

c)

Mwalimu wetu ni mrefu

2.

Chagua wingi wa sentensi hii:


Kitabu changu kimeraruka

a)

Vitabu vyetu vimeraruka

b)

Kitabu chetu kimeraruka

c)

Vitabu vyangu vimeraruka

3.

Tumia -angu au -etu


Vitabu

a)

Yangu

b)

Vyetu

c)

Vyangu

4.

Andika huyu au hawa katika sentensi hii:


Kondoo (a)   ni wangu

5.

Chagua umbo la nyota

a)
b)
c)
6.

Andika hawa au huyu katika sentensi hii


Wasichana (a)   ni warefu.

7.

Gani kati ya hizi sentensi si sahihi

a)

Mama yangu anapika chakula kitamu.

b)

Mama chetu alisukwa jana

c)

Vyakula vyetu vitapoa

8.

Wingi wa choo ni__

a)

Choo nyingi

b)

Vyoo

c)

Vivhoo

9.

Wingi wa changu ni--

a)

Wangu

b)

Vyetu

c)

Changu

10.

Chagua rangi ya kahawia kwenye picha zifuatazo

a)
b)
c)