wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

KISWAHILI DARASA LA SABA 002 2021

Total questions: 20

Worksheet time: 7mins

Name
Class
Date
1.

Andika tarakumu hii kwa maneno 11000

a)

Elfu kumi na moja

b)

Laki kumi na moja

c)

Kumi na moja elfu

d)

Milioni kumi na moja

2.

Kila siku sisi hupitia njia _____.

a)

hii ii

b)

ii hii

c)

hii hizi

d)

papa hapa

3.

Ni sentensi ipi iliyo sahihi ?

a)

Shati lake ni jeupe

b)

Alipoesha chai kwa kikombe

c)

Alituhadithi kisa cha kuogofya

d)

Aling’orota akiwa usingizini

4.

Hali ya mtu kuwa mke au mume ni A. B. C.D.

a)

Jinsi

b)

Jinsia

c)

Sinzia

d)

Maumbile

5.

Neno jicho liko katika ngeli ipi iliyo sahihi?

a)

I-ZI

b)

JI-MA

c)

A-WA

d)

LI-YA

6.

Tegua kitendawili hiki:

Nyumbani mwangu mna shetani ambaye daima anakunywa maji yangu?

a)

Shamba

b)

Mtoto

c)

Taa

d)

Mtungi

7.

Ni nini maana ya semi hii: Chakula alichopika kilikuwa asali

a)

Kilikuwa kitamu

b)

Kilipikwa na viungo

c)

Kiliwekwa nyuki

d)

Kiliwekwa asali

8.

Umbo hili ni ______

a)

kiguni duara

b)

hori

c)

mstari sulubu

d)

ngoe

9.

Fupisha maneno haya Wajomba zako

a)

Wajomba

b)

Wajombanu

c)

Wajombazo

d)

Wajombako

10.

Nywele za mwilini zinazoota mgongoni, mikononi, miguuni na kifuani huitwa A. B. C. D.

a)

Mvi

b)

Nywele

c)

mavuzi

d)

Malaika

11.

. Kitenzi kunja katika hali ya kutendeana ni _____

a)

Kuna kunja

b)

Kunjia

c)

Kunjiana

d)

Kunjisha

12.

Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya mazoea

a)

Mama hupika chakula kitamu

b)

Mama anapika chakula kitamu

c)

Mama atapika chakula kitamu

d)

Mama amepika chakula kitamu

13.

Ala hii hufahamika kama ______

a)

fuawe

b)

panchi

c)

maharazi

d)

pondea

14.

Ni vazi lipi kati ya haya linavaliwa na wanawake pekee?

a)

Kabuti

b)

Kanchiri

c)

Tai

d)

Chupi

15.

Chagua neno lifaalo Yeye ni yatima kwani hana baba _____ mama

a)

ijapokuwa

b)

ingawa

c)

wala

d)

badala ya

16.

Zana hii huitwa

a)

kimangare

b)

rungu

c)

sagai

d)

nyana

17.

Zana hii huitwa

a)

kombora

b)

nyambizi

c)

mzinga

d)

manowari

18.

Ala hii ya muziki huitwa _____

a)

beni

b)

tumba

c)

harimuni

d)

toazi

19.

Aina hii ya kofia huitwa ______

a)

chepeo

b)

shumburere

c)

mtabosha

d)

tarabushi

20.

Chombo hiki cha maji huitwa ________

a)

barakinya

b)

chelezo

c)

nchoro

d)

kayaki