Font size
WorksheetsSWAHILI QUIZZ
Total questions: 20
Worksheet time: 13mins
Hamjambo?
sijambo
hatujambo
POA
MAMBO
SASA NI SAA NGAPI?
7:30
(a)
Andika nambari hii Kwa maneno.
1950
(a)
Je tuko katika mwezi gani?
(a)
Hii ni nini?
jiko
jokofu
sufuria
kijiko
Je huu ni mwaka gani?
(a)
Leo ni tarehe ngapi?
(a)
Kikombe kina rangi gani?
(a)
ANDIKA KWA WINGI
Mimi nilienda dukani
(a)
ANDIKA KWA wingi
Mimi nitaenda shuleni kesho
(a)
Chakula ..........meiva
i
ki
a
wa
Simu ......... imepotea
wake
lake
zake
yake
Simba ........ amelala
hii
huyu
hiki
hili
Mtoto .......... analala
langu
zangu
wangu
changu
Kitabu ......... kimeraruka
lake
yake
chake
zake
Mtoto ...............anacheza vizuri
yangu
wangu
changu
zangu
Dada ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,anaenda kazini
wake
yake
lake
chake
Mpira ............... umepotea
wake
zake
lake
chake
Mlima ..........nalimwa
i
u
a
zi
Mwanafunzi ..............mechelewa
i
a
tu
ki
