wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

UKOO

Total questions: 10

Worksheet time: 3mins

Name
Class
Date
1.

Mtoto wa mjomba au Shangazi yako unamwita ____

a)

Mbiomba

b)

Halati

c)

Mkoi

d)

Ami

2.

Dada yake mama ninamwita ____

a)

Hau

b)

Shangazi

c)

Mbiomba

d)

Halati

3.

Mtu uliyeoa naye kwenye familia moja utamwita____

a)

Mwanyumba

b)

Mshenga

c)

Shemeji

d)

Amu

4.

Mtoto wa mjukuu wako utamwita _____

a)

Kilembwe

b)

Kilembwekeza

c)

Kitukuu

d)

Kinying'ina

5.

Kaka ya baba unamwita ____

a)

Amu

b)

Hale

c)

Abu

d)

Hau

6.

Mjomba wako anakuita _____

a)

Jomba

b)

Umbu

c)

Mkoi

d)

Mpwa

7.

Jina ambalo mke wako na dada yako wanaitana ni ____

a)

Shemeji

b)

Wifi

c)

Umbu

d)

Mpwa

8.

Jina ambalo ndugu wa kike na kiume huitana ni _____

a)

Umbu

b)

Mpwa

c)

Amu

d)

Halati

9.

Jina ambalo wazazi wa mume na wale wa mke huitana ni ____

a)

Hau

b)

Mbiomba

c)

Kivyere

d)

Shemeji

10.

Mke wa baba ambaye si mama yako mzazi ni ____

a)

Mama mdogo

b)

Mama wa kambo

c)

Mama mkubwa

d)

Mama mwengine