Wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Viashiria

Total questions: 15

Worksheet time: 8mins

Name
Class
Date
1.

Mtoto ________ ndiye aliyeadhibiwa na mwalimu

a)

hiki

b)

hawa

c)

huyu

d)

hilo

2.

Kiatu _________ kilichotumika ndicho kilichoraruka

a)

hiyo

b)

hicho

c)

haya

d)

hivi

3.

Ubele ________ ulitumika na mganga hodari.

a)

hii

b)

hiyo

c)

huu

d)

hizi

4.

Maradhi ______ ya korona bado hayana tiba.

a)

haya

b)

hawa

c)

hili

d)

hiyo

5.

Nyumbani ________ ndimo mlimooshwa na Chausiku.

a)

hapa

b)

hawa

c)

hizi

d)

humu

6.

Kucheza __________ ndiko kulikokatazwa na mwalimu.

a)

hiki

b)

pale

c)

huku

d)

huu

7.

Uamuzi ufaao utatolewa na mahakama _________

a)

hii

b)

huu

c)

hizi

d)

zile

8.

Siipendi timu _______ ya Manchester. Ina wachezaji wenye mchezo mbaya.

a)

huyo

b)

hizi

c)

hiyo

d)

hawa

9.

Maji ________ yalipomwagika, mtoto aliteleza na kuanguka chini pu!

a)

hayo

b)

hapa

c)

hizi

d)

hawa

10.

Sipendi kula sima ______ ya wimbi. Niletee ya unga wa mahindi.

a)

hii

b)

hizi

c)

hawa

d)

hilo

11.

Vijiko ________ vya mapishi vinametameta sana.

a)

hivi

b)

Hawa

c)

yale

d)

hiki

12.

Nywele _________ za watoto zinapendeza watu wengi.

a)

huku

b)

hicho

c)

yule

d)

zile

13.

Mayai __________ ya ndege si matamu kama ya kuku.

a)

hili

b)

haya

c)

hawa

d)

hizo

14.

Ninafanya mazoezi ili mwili wangu uweze kuwa kama ________.

a)

huyu

b)

huu

c)

hiki

d)

hiyo

15.

Kiziwi ________ ana masikio ila hayatumii jamani.

a)

hiki

b)

hawa

c)

hizi

d)

huyu