WorksheetsSUNGURA 101 VITENZI
Total questions: 10
Worksheet time: 5mins
Name
Class
Date
1.
Habari ya asubuhi Seth?
a)
marahaba
b)
nzuri sana
c)
kwaheri
d)
poa
2.
Hii ni nini?
a)
kichwa
b)
mgongo
c)
tumbo
d)
uso
3.
hizi ni kalamu ngapi?
a)
1
b)
7
c)
8
d)
9
4.
maskio ni ya kufanya nini?
a)
kuona
b)
kutembea
c)
kuskia
d)
kuongea
5.
ukona miaka ngapi Seth?
a)
5
b)
8
c)
7
d)
2
6.
huyu msichana anafanya nini?
a)
analia
b)
anatembea
c)
anacheka
d)
anaruka
7.
baba anafanya nini?
a)
anakunywa maji
b)
anakunywa chai
c)
anakunywa maziwa
d)
anakunywa sharubati
8.
ulimi ni wa kufanya nini?
a)
kula
b)
kuongea
c)
kuonja
d)
kuskia
9.
karibu darasani Seth
a)
nzuri sana
b)
kwaheri
c)
poa
d)
asante
10.
huyu ni mnyama mgani
a)
mbuzi
b)
paka
c)
mbwa
d)
punda
100 %
