WorksheetsMavazi
Total questions: 10
Worksheet time: 50secs
Name
Class
Date
1.
Andika jina la vazi hili.
a)
Rinda
b)
Kiatu
c)
Soksi
d)
Fulana
2.
Vazi hili huvaliwa wapi?
a)
Kichwani
b)
Mkononi
c)
Mguuni
d)
Masikioni
3.
Vazi hili linaitwa vipi?
a)
Koti
b)
Kizibao
c)
Surupwenye
d)
Suruali fupi
4.
Vazi hili huvaliwa na kina nani?
a)
Mafundi
b)
Walimu
c)
Madaktari
d)
Polisi
5.
Vazi hili linaitwa vipi?
(a)
6.
Vazi ambalo huvaliwa na wanafunzi siku za shule ni?
a)
Sare
b)
Shule nguo
c)
fulana
d)
Soksi
7.
Vazi hili linaitwa vipi?
a)
Shoti
b)
Kabuti
c)
Chupi
d)
Kaptura
8.
Pambo hili huitwa?
(a)
9.
Pambo hili huvaliwa kwenye sehemu (part) ipi?
a)
Mguu
b)
Kidole
c)
Kichwa
d)
Sikio
10.
Vazi hili linaitwa vipi?
(a)
100 %
