WorksheetsNYUMBANI
Total questions: 10
Worksheet time: 5mins
Name
Class
Date
1.
shikamoo?
a)
nzuri sana
b)
marahaba
c)
kwaheri
d)
sijambo
2.
hapa ni wapi?
a)
nyumbani
b)
shuleni
c)
darasani
d)
kanisani
3.
hii ni nini?
a)
zulia
b)
mlango
c)
dirisha
d)
paa
4.
nikiwa na haja kubwa au ndogo naenda wapi?
a)
choo
b)
bafu
c)
sebuleni
d)
jikoni
5.
anafanya nini?
a)
anawasha taa
b)
anazima taa
c)
anakula taa
d)
anasema taa
6.
bafu ni pahali pa kufanya nini?
a)
kufua
b)
kula
c)
kuoga
d)
kulala
7.
hapa ni wapi?
a)
chumba cha kufulia
b)
chumba cha kulala
c)
sebuleni
d)
jikoni
8.
sebuleni kuna nini?
a)
runinga
b)
sufuria
c)
meko
d)
kitanda
9.
hii ni nini?
a)
sebule
b)
taa
c)
kijiko
d)
bafu
10.
hivi ni nini?
a)
kiti
b)
miti
c)
kiti
d)
vijiko
100 %
