WorksheetsMarudio G8
Total questions: 14
Worksheet time: 6mins
Staftahi ni?
Chakula cha jioni
Chakula cha asubuhi
Chakula cha mchana
Vyakula mbalimbali katikati ya siku
Hivi ni vikundi vya chakula isipokuwa?
Wanga
Protini
Vitamini
Ndizi
Mmea (plant) unaozaa maembe huitwa?
(a)
Grapes katika Kiswahili ni?
Stroberi
Ndizi
Zabibu
parachichi
Sehemu ya mwili inayotumika kutafuna chakula ni?
(a)
Sehemu ya nyuma ya kichwa ni?
(a)
Sehemu ya mwili inayopokea oxijeni na kuisambaza kwenye mishipa.
(a)
Teknolojia imefanya vitu vifuatavyo isipokuwa?
Imerahisisha mawasiliano
Imeongeza biashara
Kufikiria
Huathiri afya
Mtu anayeendesha meli ni?
Daktari
Nahodha
Rubani
Dereva
Mtu anayetengeneza mitambo (equipment) ni?
Mhandisi
Mwandishi
Daktari
Muuguzi
Anayewatibu wagonjwa hospitalini ni?
Muuguzi
Daktari
Msusi
Malenga
Alama ipi hutumika mwanzoni mwa sentensi?
Kituo
Kituo kikuu
Kihusishi
Herufi kubwa
Alama ipi hutumika kuonyesha hisia?
Kihusishi
Kihisishi
Kikomo
Kituo
Chagua matumizi yote ya kikomo.
Hutumika kutofautisha saa na dakika
Hutumika mwishoni mwa sentensi
Hutumika kutenganisha shilingi na senti
Hutumika katika kuandika anwani
