WorksheetsWANYAMA WA NYUMBANI
Total questions: 10
Worksheet time: 5mins
Name
Class
Date
1.
jana ilikuwa siku gani?
a)
jumanne
b)
jumatatu
c)
alhamisi
d)
jumamosi
2.
mnyama huyu anaitwaje?
a)
kuku
b)
ng'ombe
c)
mbuzi
d)
mbwa
3.
paka huyu ni wa rangi gani?
a)
nyeusi
b)
hudhurungi
c)
nyekundu
d)
samawati
4.
mnyama huyu anaitwaje?
a)
kuku
b)
panya
c)
farasi
d)
bata
5.
habari za jioni?
a)
poa
b)
nzuri sana
c)
sijambo
d)
kwaheri
6.
ng'ombe huyu ana pembe ngapi?
a)
mbili
b)
tatu
c)
moja
d)
nne
7.
huyu anafanya nini?
a)
anapika nyanya
b)
anakatakata nyanya
c)
anaosha nyanya
d)
anachemsha nyanya
8.
huyu ni mnyama yupi?
a)
bata
b)
kuku
c)
paka
d)
mbwa
9.
hili ni vazi gani?
a)
sweta
b)
sketi
c)
rinda
d)
shati
10.
chakula cha asubuhi kinaitwaje
a)
chajio
b)
kiamsha kinywa
c)
chamcha
d)
chakula
100 %
