Worksheetshadithi ya kaka wanne
Total questions: 10
Worksheet time: 5mins
Name
Class
Date
1.
sabalheri Abigail?
a)
marahaba
b)
sijambo
c)
aheri
d)
majaliwa
2.
leo ni tarehe 1 ya mwezi wa?
a)
nne
b)
nane
c)
tisa
d)
pili
3.
huyu anafanya nini?
a)
analia
b)
anakohoa
c)
anacheka
d)
anaruka
4.
jana usiku...
a)
ninalala
b)
nimelala
c)
nitalala
d)
nililala
5.
kesho asubui...
a)
nimekula
b)
nitakula
c)
nilikula
d)
ninakula
6.
katika hadithi, mvuvi alikuwa na watoto wangapi?
a)
wanne
b)
wawili
c)
watatu
d)
watano
7.
mtoto wa mfalme anaitwaje?
a)
mfalme
b)
malkia
c)
binti mfalme
d)
kijakazi
8.
hadithi hadithi!
a)
pakawa
b)
hadithi njoo
c)
mwizi
d)
watoto wabaya
9.
hii ni nini?
a)
miwani
b)
mshale
c)
darubini
d)
uta
10.
hizi ni nini?
a)
upinde na mshale
b)
mashua
c)
darubini
d)
kiboko
100 %
