WorksheetsDARASA LA NNE ()3
Total questions: 32
Worksheet time: 16mins
1) Chagua kifaa kinachotumika shambani?
Jembe
Daftari
Jina la mchoro huu ni?
Bendera
Bedera
Bendera ina rangi ngapi?
Nane
Nne
Kusimama wima bendera inapopandishwa ni kuonesha?
heshima
hekima
Sisi ni ____wa Kenya.
raia
nchi
Tukiishi kwa upendo nchi itakuwa yenye_____
amani
vita
Rangi nyeupe husimamia nini_____
amani
damu
Rangi nyekundu husimamia nini ____
amani
damu
Wimbo wa taifa una aya ngapi?
sita
tatu
Sisi huenda kwenye gwaride lini?
Jumatatu na Ijumaa
Jumatatu na Jumamosi
Mtu anayeipenda nchi yake huitwa?
Mzalendo
Uzalendo
Wingi wa sentensi hii ni?
Yeye atacheka.
Wao watacheka.
Wao wanacheka.
Samaki huishi wapi?
Majini
Hewani
Kifaa hiki kinajulikana kama?
kifyekeo
Panga
Bendera hupandishwa kwenye mlingoti ________na ___________
Jumatatu na Ijumaa
Jumatatu na Alhamisi
Chagua sentensi iliyoandikwa kwa wakati ujao?
Mwanafunzi anacheka
Mwanafunzi atacheka
Kamilisha methali ifuatayo.
Bendera hufuata_____
Mawimbi
Upepo
Kamilisha kitendawili kifuatacho.
Bubu anayesema?
Kitabu
Kalamu
Kamilisha kitendawili hiki.
Jicho la mungu linachoma?
Jua
Moto
Chagua jibu sahihi kwa kukamilisha methali ifuatayo.
Fuata nyuki ule?
Sukari
Asali
Wingi wa sentensi hii ni.
Mimi ninakula
Sisi tunakula
Sisi ninakula
Wingi wa wewe unakula ni?
Nyinyi unakula
Nyinyi mnakula
Wingi wa yeye anacheza ni?
Wao wanacheza.
Wao anacheza.
Kinyume cha neno lia ni?
Cheka
Kasirika
Chagua jibu sahihi.
Mzazi ----amefika.
yake
wake
Kofia ----inapendeza.
wake
yake
Chagua jibu sahihi.
Wakulima________ mazao.
wanavuna
anavuna
Ninatumiwa kupima uzito wa bidhaa. Mimi ni______
mkokoteni
mizani
Ninauza vitu vidogovidogo sokoni. Mimi ni______
mchuuzi
dalali
Ninatumiwa kubeba mizigo sokoni. Mimi ni ---------
kibanda
mkokoteni
Ninauza vitu kwenye mnada. Mimi ni ______
mchuuzi
dalali
Ninatumiwa kama chumba cha kuuzia bidhaa sokoni. Mimi ni -----
soko
kibanda
