Font size
WorksheetsShawnah quiz
Total questions: 71
Worksheet time: 37mins
What is a house called in Kiswahili
Farasi
Nyumba
Kuku
PikiPiki
What is a horse
Farasi
Nyumba
Kula
Pika
What is a cake
who is a doctor
Daktari
Muuguzi
Mchoraji
what is a bike
PikiPIki
Gari
Baiskeli
Farasi
Chagua kisawe cha neno jela
Mahakama
Gereza
Husuni
Rumande
Mtu anayeshukiwa kufanya uhalifu wowote huitwa?
Mtuhumiwa
Mwizi
Mhalifu
Mshtakiwa
Mahali ambapo mshtakiwa huzuiliwa kesi yake ikiendelea kusikilizwa huitwaje?
Mahakama
Jela
Rumande
Seli
Jina jingine la jaji
Hakimu
Kadhi
Jela
Daawa
Huandika na kuweka nyaraka za mahakama.
Karani wa mahakama
Kiongozi wa mahakama
Mshtakiwa
Karani
Mshukiwa anapokamatwa na polisi hutiwa_______mikononi
Minyororo
Kamba
Pingu
Jela
Mtu aliyefungiwa rumande huitwa_________
Mtuhumiwa
Mshukiwa
Wakili
Mahabusu
Hakimu wa kiislamu huitwa _______
Kadhi
Wakili
Shehe
Mohamed
Kesi inapopigwa horomo ,yaani kusemekana isikilizwe siku nyingine huwa_____
Imeahairishwa
Imehairishwa
Jina jingine la kesi ni _____
Daawa
Dawa
Adhabu anayopewa mshtakiwa aliyepatikana na hatia yaweza kuwa
Kufungwa jela
Kuachiliwa huru
Kutiwa mbaroni.
Kizimba ni mahali ambapo____husimama
Mshukiwa
Mshtakiwa
Andika Kwa Wingi :
mkadamu yule aliwapa zawadi manamba mtiifu
(a)
Andika Kwa Wingi :
kijiko cheupe kitatumiwa na mpishi mfupi
(a)
Andika Kwa Wingi :
gudulia jingine limepasukia chumbani mle
(a)
Andika Kwa Wingi :
suruali ya mtoto ilikatika vifungo vyote
(a)
Andika Kwa Wingi :
ukuta wa chumba kipya ulikuwa na ufa mpana
(a)
Andika Kwa Wingi :
mkeka mweusi unatumiwa na mshitiri
(a)
Andika Kwa Wingi :
ugonjwa wa kuambukiza ni hatari
(a)
Andika Kwa Wingi :
mirathi aliyoachiwa itamsaidia na ndugu yake
(a)
Andika Kwa Wingi :
ugali mkubwa utaliwa na mzee mrefu
(a)
Andika Kwa Wingi :
kucheza kwake kulimvutia mtazamaji
(a)
Andika Kwa Wingi :
marashi aliyojirashia ni ya nchi ipi?
(a)
Andika Kwa Wingi :
shambani palipolimwa panapendeza mkulima
(a)
Andika Kwa Wingi :
shambani kulikopandwa mti kunavutia mtalii
(a)
Andika Kwa Wingi :
shambani mlimopandwa ua la waridi mnanukia
(a)
Andika Kwa Wingi :
mkunga aliyemvua mkunga ana ua zuri kwenye ua wake
(a)
Ni kipi miongoni mwa vifuatavyo kisichotumika jikoni?
Chano
Fyekeo
Buli
Bilauri
Jua huchomoza upande wa __________.
Magharibi
Kaskazini
Kusini
Mashariki
Daftari la kuandikia lina umbo gani?
Mche
Kopa
Mstatili
Mraba
Mtoto wa mjukuu wangu nitamwitaje?
Mpwa
kitukuu
Kilembwe
Kinying'inya
Mnyama wa msituni anayefanana na nguruwe ni ________
nyati
kifaru
ngiri
swara
Anayemsaidia daktari hospitalini kwa kuwapa wagonjwa dawa na kuhakikisha wamekula anaitwa _____________.
tabibu
mchuuzi
msusi
mwuguzi
Ni nini hutumika pamoja na kinu kutwangia vitu jikoni?
Mche
Mbuzi
Mchi
Buli
Ni vazi lipi huvaliwa na wanawake pekee?
Kanchiri
Suruali
Koti
Kizibao
Rangi ya juu ya upinde wa mvua ni __________ .
machungwa
samawati
nyekundu
kijani
Yupi kati ya wanyama wafuatao ni tofauti na wengine?
Sokwe
Kima
Swara
Tumbiri
Samaki ni kwa maji kama vile ndege ni kwa ___________ .
kombe
kizimba
mzinga
kiota
- Kati ya shughuli hizi, ni ipi huja ya kwanza?
Kupanda
Kulima
Kupalilia
Kuvuna
Tumia -ngi au -ngine
samaki (a) huliwa mijini
Tumia -ngi au -ngine
wageni walipewa chakula (a) .
Tumia -ngi au -ngine
nguo (a) hutengenezewa ng'ambo.
Tumia -ngi au -ngine
wachezaji walikunywa maji (a) .
Tumia -ngi au -ngine
mgonjwa alitokwa na jasho (a) .
Tumia -ngi au -ngine
sokoni kulijaa maembe (a) .
Tumia -ngi au -ngine
mataifa (a) huzingatia utunzaji wa mazingira.
Tumia -ngi au -ngine
njia hii haifai, itatujuzu kutumia (a) .
Tumia -ngi au -ngine
mkate ukioza ununue (a) .
Tumia -ngi au -ngine
mkebe ulianguka na kuvunja yai (a) .
What is father in kiswahili
Babu
Baba
Binamu
Mama
Robert has a sister, what is sister in Swahili
Nana
Lala
Dada
Dudu
Shemeji ni ....... ( Shemeji is.....)
Sister in Law
Brother in law
Father in law
Mother in aw
Mjomba ni ( Mjomba is )
Uncle
Father
Paternal uncle
Aunt
Which family member is the brothers wife ?
Wifi
Mke
Mpwa
Kitukuu
What is step mother in kiswahili ?
Baba wa kambo
Mama wa kambo
Mama
Baba
Babu na nyanya ni.........
Father and mother
Brother and sister
Grand Father and Grand Mother
Cousin and Cousins
Wazazi anaitwa .......... kwa kiingereza
anaitwa ( called )
Guardians
People who take care of you
Parents
Adults
Who are in the picture ?
Wazazi
Mwalimu
Watoto
Babu
How do you say brother in swahili ?
Dada
Mama
Kaka
Baba
How do you say grand father ?
baba
Nyanya
Babu
Dadu
Who do you call the sons or daughters of your mums sister ?
Mpwa
Binamu
Kaka
Dada
Sasa ni saa ngapi?
Saa saba
Saa sita
Saa nane
Saa moja
Ni gani saa sita?
sasa ni saa ngapi?
Saa nane
Saa mbili
Saa saba
Saa sita
Ni gani saa tano kamili?
Sasa ni saa ngapi?
Saa nane
Saa tatu
Saa saba
Saa mbili
