wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili grade 1

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

_____ Nninafagia.

a)

Mimi

b)

sisi

2.

_____ tunafagia.

a)

Mimi

b)

Sisi

3.

Kikapu ____

a)

Yangu

b)

changu

4.

Mipira ____.

a)

zetu

b)

yetu

5.

Kitabu ____ kimepotea.

a)

yangu

b)

changu

6.

Kipi si kitendo cha kudumisha usafi wa mwili?

a)

kupiga mswaki

b)

kuwa mchafu

c)

kuoga kila siku

d)

kunawa mikono

7.

Picha ____ inapendwa.

a)

nzuri

b)

mbaya

8.

Mama amemwaga chakula ____.

a)

kizuri

b)

kibaya

9.

Tumia gari ____

a)

zuri

b)

baya

10.

Ipi si sehemu ya mwili?

a)

kichwa

b)

magoti

c)

mwiko

d)

tumbo