wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

kiswahili

Total questions: 10

Worksheet time: 44mins

Name
Class
Date
1.

SALAMU NA MWASILIANO.

Jaza majibu sahihi:

  1. 1). Jina lako ni nani?

2).Unatoka wapi?

3).Habari ya Jioni?

4).Karibu, jina lake ni?

  1. Una miaka mingapi?

4 lines
2.

NAMBA ZA SIKU ZA WIKI.

1.Andika nambari hizi kwa kiswahili:

a)3

b)7

c)10

Taja siku mbili za mwisho wa wiki:

4 lines
3.

METHALI NA NAHAU

Eleza maana ya methali hii:

Haraka haraka haina baraka

4 lines
4.

Tumia nahau hii katika sentensi: kula chumvi nyingi

4 lines
5.

Jaza kiunganishi sahihi:(na, lakini, au, kwa sababu,kisha)

1).Tulikula ......... tukalala

2).Tunataka chai .......... kahawa

3).Alilia ....... alianguka

4).Nilikuja mapema ............mvua ilinyesha

5).Alioga ............ akavaa nguo

(a)  

6.

Wewe unatoka wapi?

Hii ni sentensi aina gani?

a)

elezi

b)

ulizi

c)

mshangao

d)

amri

7.

Simama hapo!

Hii ni sentensi aina gani?

a)

mshangao

b)

ulizi

c)

amri

d)

elezi

8.

Ametoka sokoni.

Hii ni sentensi aina gani?

a)

amri

b)

mshangao

c)

elezi

d)

ulizi

9.

Kumbe alifaulu!

Hii ni sentensi aina gani?

a)

mshangao

b)

ulizi

c)

elezi

d)

amri

10.

Ninaenda shuleni

Hii ni snetensi aina gani?

a)

amri

b)

ulizi

c)

elezi

d)

mshangao