NEW
Font size
WorksheetsKISWAHILI JUMA LA 1
Total questions: 20
Worksheet time: 10mins
Chumba maalum nyumbani ambacho huwa tunaketi kutazama televisheni na kuwakaribishia wageni huitwa____________
sebule
kinu
jokofu
maktaba
Kifaa hiki hutumiwa nyumbani kuhifadhia chakula na vinywaji. Ni neno gani halifai katika kati ya haya?
jirafu
jokofu
serendani
friji
Bibi ni kwa pipi kama vile ___________ ni kwa chana .
goti
kamba
baba
jana
Kifaa hiki hupatikana jikoni. Je, kinaitwaje?
serendani
jokofu
chandarua
zulia
Hiki ni kitanda. Miguu ya kitanda huitwaje?
malazi
sakafu
vitate
matendeguu
________________ ni maneno yanayokaribiana kwa matamshi.
vitate
sebuleni
nomino
tumbuu
Tambua picha ifuatayo?
pazia
zulia
kochi
sakafu
Chombo hiki huitwa redio. Neno jingine la redio ni __________
televisheni
mwengoya
kiota
kompyuta
_______________hutukinga kutoumwa na mbu tunapolala.
Leso
kitanda
chandarua
blanketi
Tambua vifaa hivi.
kinu na mchi
mwiko na sufuria
mpini na kinu
jirafu na jokofu
Kifaa kinachotumiwa kufunga mlango huitwa _____________
tumbuu
kizingiti
mto
loki
Kati ya maneno yafuatayo,ni jozi gani isiyo na vitate?
waya-yaya
panda-banda
sofa-kochi
gugu-kuku
Kitambaa kinachotumiwa kuwekea mto wa kulalia au kuegemea huitwa_________
foronya
mto
mkeka
godoro
Yupi si ndege katika kati ya hawa?
kanga
bata
njiwa
panya
Jaza pengo.
Nilimpata ______ katika kisima hicho.
bibi
baba
bata
yaya
Jaza pengo.
Si vyema kubebea pasi kwenye________
basi
paa
shati
dada
Mimi ni ubao ulio juu na chini ya mihimili ya mlango na madirisha. Je mimi ni nani?
bulbu
foronya
kizingiti
pazia
__________ ni mto wa kukalia au kuegemea.
takia
chandarua
mawe
godoro
Mimi ni kifaa cha nyumbani.Kwa kawaida utanipata sebuleni.Watu hupenda kunitazama. Je, mimini nani?
tumbuu
kompyuta
runinga
mwengoya
Chumba kinachopatikana nyumbani ambacho watu huenda kuogea huitwaje?
bafu
msalani
sebuleni
majilisini
