
MSAMIATI WA MAHAKAMANI
Presentation
•
World Languages
•
6th - 11th Grade
•
Hard
Yaddar Abisai
Used 1+ times
FREE Resource
20 Slides • 0 Questions
1
Na bwana Yaddar Abisai
2
Pingu/vikuku
Hivi ni vitu vilivyotengenezwa kwa chuma ambavyo hutumiwa kumfungia mshukiwa mikononi ili asitoroke
3
Mahali ndani ya mahakama ambapo jaji au hakimu huketi wakati wa kusikiliza na kuamua kesi.
4
Mtaalamu ambaye huendeleza kesi mahakamani. Hueleza kuhusu kesi, mshtakiwa, mshtaki au mashahidi
5
Mwenye kazi ya kuandika na kutunza nyaraka za korti. Pia hufanya kazi ya kuwaapisha wanaozungumza kortini. (Mshtaki, Mshtakiwa na shahidi)
6
Kitendo cha kusongeza kesi ili isikilizwe wakati mwingine. Jaji au hakimu ndiye mwenye uwezo wa kuahirisha kesi.
7
Kitendo cha kuamua kesi. Ni jaji tu au hakimu anayeweza kukata kesi.
8
Mahali ambapo mshukiwa hufungiwa ili afikishwe mahakamani. Pia huweza kuitwa kizuizi au seli.
9
Hili jengo ambalo limeundwa spesheli kwa ajili ya mambo ya kisheria.
(Ngeli ya I-ZI)
10
Hapa ni mahali ambapo kesi husikilizwa na kuamuliwa.
(Ngeli ya pa-ku-mu)
11
Huyu ni mwanasheria ambaye husikiliza na kuamua kesi mahakamani
12
Mwanasheria ambaye huwakilisha mshtakiwa, mlalamishi au shahidi mahakamani wakati wa kusikiliza kesi.
13
Mtu ambaye amekamatwa na askari kwa dai la kutenda uhalifu au kuvunja sheria
14
Ni mtu ambaye ameshtakiwa kwa dai la kutenda uovu au kuvunja sheria. Ameshtakiwa na kufikishwa mahakamani
15
Mtu ambaye huenda kortni kudai kuwa amekosewa au kuvunjiwa sheria.
Mshtaki ni kinyume cha mshtakiwa.
16
Anayefika Kortini au mahakamani kutoa habari ambazo zinahusiana na kutendeka kwa kosa au kesi. Shahidi hutoa ushahidi.
17
Ni vitu ambavyo hutumiwa mahakamani kuonyesha ukweli wa mambo fulani yanayohusu kesi.
18
Mahali ndani ya mahakama ambapo mshtakiwa, mshtaki au shahidi husimama anapotoa taarifa yake kuhusu kesi.
19
Mahali kule gerezani, ambako mshtakiwa huzuiliwa kesi yake inapoendelea
20
Malipo anayolipa mshtakiwa ili awachiliwe huru kesi yake inapoendelea. Mshtakiwa hulipa dhamana ili asipelekwe katika rumande
Na bwana Yaddar Abisai
Show answer
Auto Play
Slide 1 / 20
SLIDE
Similar Resources on Wayground
16 questions
La colonisation au XIXe siècle (4e)
Presentation
•
KG - 12th Grade
16 questions
TD Responsabilité séance 7
Presentation
•
KG
10 questions
Compréhension Écrite : voyages solidaires
Presentation
•
KG - 10th Grade
19 questions
Conjugating French -er verbs in the present tense
Presentation
•
8th - 11th Grade
20 questions
Tu aimes aller au cinema?
Presentation
•
7th - 10th Grade
14 questions
Le traitement des infos / Bilan de lecture
Presentation
•
KG - University
15 questions
TD 10 droit de la responsabilité civile
Presentation
•
KG
16 questions
Leçon_Quizizz_Méiose_Brassage
Presentation
•
KG
Popular Resources on Wayground
21 questions
Continents and Oceans
Quiz
•
6th Grade
20 questions
Parts of Speech
Quiz
•
5th Grade
16 questions
Subject & Predicate
Quiz
•
5th Grade
25 questions
Multiplication Facts
Quiz
•
5th Grade
12 questions
Map Skills
Quiz
•
3rd Grade
22 questions
Continents and Oceans
Quiz
•
5th Grade
15 questions
Rounding Decimals
Quiz
•
5th Grade
20 questions
Brand Labels
Quiz
•
5th - 12th Grade
Discover more resources for World Languages
20 questions
REGULAR Present tense verbs
Quiz
•
8th - 9th Grade
20 questions
Ser vs Estar
Quiz
•
9th Grade
21 questions
Spanish speaking countries and capitals
Quiz
•
9th Grade
20 questions
Ser y estar
Quiz
•
9th - 10th Grade
25 questions
Spanish Speaking Countries Map Quiz Review
Quiz
•
9th - 12th Grade
20 questions
Preterite vs. Imperfect
Quiz
•
10th Grade
15 questions
PRESENTE CONTINUO
Quiz
•
9th - 12th Grade
25 questions
Spanish Cognates
Quiz
•
7th - 12th Grade