
Dondoo ya Chozi La Heri
Authored by Chloe Waruhiu
Other
12th Grade
Used 4+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
4 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
"Alijiona akiamka asubuhi ambayo ilizaa usiku wa jana...kwa umbali alainza kusikia sauti..." Maneno haya yanasemwa na nani?
Ndugu Kaizari
Lunga
Msimulizi
Ridhaa
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
Wingi wa vinywa vya kulishwa ulizua uhasama na migogoro na uhitaji mkubwa" Nini linatokea baada ya haya?
Mzee Msublili anawahamisha wake wawili
Serikali inaleta chakula cha msaada kwenye kambi
Mwangeka anawapa wana wake watatu chakula
Ridhaa anamzungumzia Tila kuhusu kupokonywa ardhi na wakoloni
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
"Nilipoona kuu mno wa ugonjwa wa kipindupindu umeanza, niliwasihi wenzangu kuchimba misala, maarufi kwa jina long drop siku hizo" FamilIa ya msemaji inahusu nani?
Terry, Tila, Mwangeka, Mukeli, Dede
Subira, Lime, Mwanaheri
Yuko solo
Sophie, Don Ridhaa, Umu na Apondi
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
"Poa sana sistee, we ni mnoma. Siku moja nitakuhelp hata mama....." Msemewa ni nani?
Sophie
Umu
Cizarina
Chandachema
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?