kidato cha tatu..maswali ya kigogo

kidato cha tatu..maswali ya kigogo

3rd Grade

10 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Rumah Saya

Rumah Saya

KG - Professional Development

7 Qs

しょうらい なに を したい ですか?

しょうらい なに を したい ですか?

1st - 12th Grade

10 Qs

Kuis Bahasa Jepang Kelas XI MIA

Kuis Bahasa Jepang Kelas XI MIA

1st - 3rd Grade

10 Qs

Nihongo Kids 3

Nihongo Kids 3

1st - 6th Grade

10 Qs

ひらがな練習(な)Hiragana practice (Na)

ひらがな練習(な)Hiragana practice (Na)

3rd Grade - University

14 Qs

Hiragana: N

Hiragana: N

1st - 5th Grade

9 Qs

Nihon kira kira bab 26

Nihon kira kira bab 26

3rd Grade

15 Qs

Japanese Greetings

Japanese Greetings

1st - 12th Grade

12 Qs

kidato cha tatu..maswali ya kigogo

kidato cha tatu..maswali ya kigogo

Assessment

Quiz

World Languages

3rd Grade

Easy

Created by

Martine Opiyo

Used 9+ times

FREE Resource

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

soko wanalofanyia kazi wachongaji hawa linaitwa aje

sagamoyo

chapa kazi

mahangaiko

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

ni nani kati ya hawa ambaye si mchongaji wa vinyago

sudi

kombe

kingi

kombe

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

ujumbe unaosikika kutoka kwenye redio unasema kwamba

kutakuwa na maandamano sokoni

kutakuwa na mwezi mmoja wa kusherehekea uhuru

wanasagamoyo watapewa pesa za biashara

sijui

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

mkwe sudi anaitwa nani

husda

ashuka

salome

ashua

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

ni mradi gani aliopewa boza na mkuu Kenga

kuuza vinyago

kuchonga kinyago cha shujaa Ngao

kufyeka soko

kuwatusi wachongaji wenzake

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

ni kinyago cha nani sudi alikuwa akikichonga

majoka

ashua

tunu

siti

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

ni sentensi ipi inafafanua mazingira ya soko walilokuwa wakifanyia kazi wanasagamoyo

soko safi la kuvutia

soko liliokuwa na harufu nzuri ,maji safi kwenye mito

soko lililokuwa na uvundo kila mahali,takataka za plastiki na kujaa uchafu kila mahali

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?