Search Header Logo

Kiswahili Toleo La 1

Authored by Frank Omuka

Other

5th - 8th Grade

Used 5+ times

Kiswahili Toleo La 1
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

25 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Maadili ni mwenendo au tabia------------------

mwema

njema

jema

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Maadili ni kitu muhimu kwa binadamu--------

wowote

yoyote

yeyote

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Kila mwanafunzi ------hana kitu hiki muhimu hukataliwa na--------shuleni na hata nyumbani--------

ambaye,wenzake,kwao

ambayo,wenzao,chao

ambao,wenzio,zao

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Hata marafiki -------pia huwa hawatembei--------kucheza naye.

yake,ila

wake,wala

zake,wala

wake,na

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Kwa hivyo,tabia-------vijana lazima ziwe za---------

za,kupendeza

ya,nzuri

la,kuchukiza

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Mtu anapokuwa na maadili,ni-----------atumie maneno------anapoongea na wenzake.

njema,vizuri

vizuri,mazuri

nzuri,mzuri

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Aidha,---------anayoyavaa nayo lazima yawe bora.

manguo

nguo

mavazi

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Microsoft

Continue with Microsoft

or continue with

Facebook

Facebook

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?