
MSAMIATI WA KISWAHILI
Authored by Rebecca Mongina
World Languages
11th Grade
Used 7+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
5 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE SELECT QUESTION
1 min • 5 pts
Chagua maneno yenye maana sawa na "isitoshe"
Fauka ya hayo
Licha ya hayo
Kwa kuongezea
ilimradi
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Tumia kiunganishi sahihi,
Maria anapenda mchezo wa vikapu,kuogelea na kucheza kandanda.----------,pia anapenda kuimba.
Licha ya hayo
lakini
nadra
sembuse
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Mama yangu hapendi kula nyama ya ng'ombe. Yeye hula kwa---------sana.
wingi
lakini
nadra
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Neno nadra linamaanisha nini?
Mara nyingi.
kila wakati(all the time)
kwa uchache sasa.(rarely)
5.
MULTIPLE SELECT QUESTION
1 min • 5 pts
Chagua sentensi sahihi
Alichoka sana ingawa alifanya mazoezi.
Alifaulu katika mtihani ingawa hakusoma.
Mama yangu aliniadhibu ingawa nilisema ukweli.
Niliamka mapema ingawa nikala kiamshakinywa.
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?