Search Header Logo

KUSOMA KWA WANASIASA UFAHAMU DARASA LA NANE

Authored by josephine owili

World Languages

KG - University

Used 2+ times

KUSOMA KWA WANASIASA UFAHAMU DARASA LA NANE
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kichwa cha makala haya ni _______

Wanasiasa matajiri

hadaa za wanasiasa

Bidii za wanasiasa

Wabunge wasio na maana

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kwa nini wabunge wanarudi mashinani?

Kuomba usaidizi

kwenda kujulia watu hali

kuwarai wapiga kura kuwapigia kura

kutazama maendeleo waliofanya

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

"kuwa na ulimi wa sukari" kama ilivyotumiwa ni kuwa...

na maneno yanayoeleweka

na maneno matamu

na maneno mengi

na maneno ya ushujaa

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kwa mujibu wa aya ya pili, ni bayana kuwa ....

wanaoomba kura hupenda kusikilizwa.

wanaoomba kura huwarairai wananchi kuwachagua.

baada ya uchaguzi watu wote hupata fanaka.

barabara zote hunyooka twa baada ya uchaguzi.

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kutia chumvi ina maana ya?

Kuongeza ukweli

kusema maneno mengi yasiyo na maana

kusema maneno mengi yasiyo ya ukweli

kueleza maneno magumu

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Wapiga kura wanajua nini?

wakati wa uchaguzi umewadia

baadhi ya wabunge

madhila wanayoyapitia

wanasiasa laghai wanaowasahaulia mbali

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Madhila chungu nzima kama ilivyotumika ina maana ya _____

maendeleo mangi

mateso mengi

reha tele

uhuru mwingi

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Microsoft

Continue with Microsoft

or continue with

Facebook

Facebook

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?