Matumizi ya -kubwa, -refu na -tamu

Matumizi ya -kubwa, -refu na -tamu

2nd Grade

10 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Bahasa Melayu Tahun 2 Unit7 (3Topik Terakhir)

Bahasa Melayu Tahun 2 Unit7 (3Topik Terakhir)

2nd Grade

10 Qs

Pilih ayat yang betul berdasarkan gambar

Pilih ayat yang betul berdasarkan gambar

1st - 5th Grade

10 Qs

ENHYPEN (BAHASA INDONESIA)

ENHYPEN (BAHASA INDONESIA)

KG - 12th Grade

15 Qs

Bagian bagian rumah

Bagian bagian rumah

2nd Grade

10 Qs

Kuiz Kosa Kata (Unit 18 - Unit 20)

Kuiz Kosa Kata (Unit 18 - Unit 20)

1st - 12th Grade

15 Qs

laundry quiz

laundry quiz

2nd Grade

11 Qs

Denah

Denah

2nd Grade

10 Qs

Kiswahili Grade 2

Kiswahili Grade 2

2nd Grade

14 Qs

Matumizi ya -kubwa, -refu na -tamu

Matumizi ya -kubwa, -refu na -tamu

Assessment

Quiz

Other

2nd Grade

Medium

Created by

Deborah Omambia

Used 2+ times

FREE Resource

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chagua jibu sahihi

Mti huu ni ______.

ndefu

mrefu

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chakula cha mama ni ______ sana.

tamu

kitamu

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Jumba la mfalme ni ______ kuliko mengine.

mkubwa

kubwa

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kalamu yangu ni ______ kuliko ya rafiki yangu.

ndefu

refu

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Uji wa bibi ni ______ na unanutkia vizuri.

tamu

mtamu

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Embe hili ni ______.

tamu

kitamu

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kiti ____kimevunjika.

kubwa

kikubwa

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?