Wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili-Vivumishi

Total questions: 16

Worksheet time: 13mins

Name
Class
Date
1.

Vivumishi hueleza zaidi kuhusu _______

a)

kitenzi

b)

nomino

c)

kiunganishi

d)

kihisishi

2.

Viatu vizee vina matope - Neno lipi ni kivumishi

a)

viatu

b)

vizee

c)

vina

d)

matope

3.

Tambua kivumishi:

John amenunua nyumba zingine.

a)

John

b)

amenunua

c)

nyumba

d)

zingine

4.

Tambua kivumishi:

Pahali pengi pameharibika.

a)

Pahali

b)

pengi

c)

pameharibika

d)

hakuna jubu sahihi

5.

Tambua kivumishi:

Mikono hii ni mirefu.

a)

Mikono

b)

hii

c)

ni

d)

mirefu

6.

Tambua kivumishi:

Kalamu hiyo ni mbaya.

a)

Kalamu

b)

hiyo

c)

ni

d)

mbaya

7.

Tambua kivumishi:

Gari la mama

a)

Gari

b)

la

c)

mama

d)

hakuna jibu sahihi

8.

Chagua kivumishi katika sentensi. Mwalimu msomi ametuzwa asubuhi.

a)

Mwalimu

b)

Msomi

c)

Asubuhi

d)

Ametuzwa

9.

Tambua kivumishi cha pekee katika sentensi. Chakula kingine kimepikwa na mama yangu.

a)

Yangu

b)

Kingine

c)

Chakula

d)

Kimepikwa

10.

Kivumishi ni nini?

a)

Neno linalotoa habari zaidi kuhusu nomino

b)

Neno lenye maana sawa na nomino.

c)

Majina ya vitendo vya watu

d)

Neno linalojisimamia.

11.

Vivumishi hujibu swali lipi?

a)

Ngapi?

b)

Aina gani?

c)

Nani?

d)

Majibu yote ni sahihi

12.

Kuwa mwangalifu, lau sivyo utachomwa na chai __________

a)

kubwa

b)

ndogo

c)

baridi

d)

moto

13.

Sharubati ya limau ni tamu. Hutiwa barafu ili kiwe kinywaji ______

a)

ndefu

b)

moto

c)

baridi

d)

tulivu

14.

Tumia kivumishi kifaacho kujaza pengo

Ndimu huwa ____________

a)

tamu

b)

kali

c)

kakasi

d)

chungu

15.

Mtoto mwoga hulia anapomwona mende.

a)

Mwoga

b)

mtoto

c)

hulia

d)

Mende

16.

Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo:

Uso wenye huzuni unatisha sana

a)

Uso

b)

wenye

c)

sana

d)

unatisha