Wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili Quiz

Total questions: 60

Worksheet time: 30mins

Name
Class
Date
1.

Habari ya mchana?

a)

sasa

b)

habari

c)

nzuri

d)

vipi

2.

Jibu la hujambo ni __________________________

a)

Marahaba

b)

Shikamoo

c)

Sijambo

d)

Hatujambo

3.

Chagua kifaa cha nyumbani

a)

runinga

b)

simba

c)

dawati

d)

rejesta

4.

Sisi huketi kwenye ________________________

a)

sufuria

b)

kochi

c)

nguo

d)

ugali

5.

________________ hutibu wagonjwa.

a)

msusi

b)

mwalimu

c)

daktari

d)

rubani

6.

Kazi ya ___________________ ni kazi ya kupika chakula.

a)

ubawabu

b)

upishi

c)

useremala

d)

udereva

7.

Mwalimu hutumia ____________________ kuandika ubaoni.

a)

penseli

b)

kitabu

c)

kifutio

d)

chaki

8.

Andika vizuri

aptyokmu

a)

Compyuta

b)

komptyuta

c)

kompyuta

d)

komputa

9.

Ni kipi hakipatikani sokoni?

a)

ndovu

b)

kibanda

c)

mizani

d)

mkokoteni

10.

Mtu anayenunua bidhaa sokoni huitwa ____________________

a)

dereva

b)

mchuuzi

c)

mnunuzi

d)

muuzaji

11.

U hali gani? __________________________

a)

mzuri

b)

sijambo

c)

njema

d)

marahaba

12.

Ipi si sehemu ya mwili?

a)

mkono

b)

pua

c)

kikombe

d)

mguu

13.

Tunatumia nini kuona? __________________

a)

paja

b)

macho

c)

shingo

d)

vidole

14.

Shuleni kuna ______________________

a)

simba

b)

baba

c)

nyoka

d)

vitabu

15.

Wanafunzi husomea kwenye ______________________

a)

madarasa

b)

jikoni

c)

ofisi

d)

uwanja

16.

Kamilisha kitendawili

Tik tak tik tak

a)

saa

b)

kijiti

c)

jua

d)

mtoto

17.

Andika vizuri

gija

a)

gaji

b)

jagi

c)

giaj

d)

jug

18.

Ndege anayeiga sauti huitwa __________________

a)

kuku

b)

tausi

c)

bata

d)

kasuku

19.

Yupi si ndege wa nyumbani? ____________________

a)

mbuni

b)

koo

c)

bata

d)

njiwa

20.

Kuku hutupatia _____________________

a)

maziwa

b)

mboga

c)

mayai

d)

ugali

21.

Kalamu ilianguka ________________________ meza.

a)

ndani ya

b)

chini ya

c)

katikati ya

d)

mbele ya

22.

Ndege yuko __________________ mti.

a)

juu ya

b)

katikati ya

c)

mbele ya

d)

chini

23.

Andika vizuri

wanji

a)

awinja

b)

wanji

c)

njiwa

d)

jiwa

24.

Mtoto wa kuku huitwa ________________________

a)

paka

b)

kiyoyo

c)

kuku

d)

kifaranga

25.

Yupi si mnyama wa nyumbani? ___________________

a)

nyoka

b)

ng'ombe

c)

mbuzi

d)

kondoo

26.

Chagua kisawe cha neno jela

a)

Mahakama

b)

Gereza

c)

Husuni

d)

Rumande

27.

Mtu anayeshukiwa kufanya uhalifu wowote huitwa?

a)

Mtuhumiwa

b)

Mwizi

c)

Mhalifu

d)

Mshtakiwa

28.

Mahali ambapo mshtakiwa huzuiliwa kesi yake ikiendelea kusikilizwa huitwaje?

a)

Mahakama

b)

Jela

c)

Rumande

d)

Seli

29.

Jina jingine la jaji

a)

Hakimu

b)

Kadhi

c)

Jela

d)

Daawa

30.

Huandika na kuweka nyaraka za mahakama.

a)

Karani wa mahakama

b)

Kiongozi wa mahakama

c)

Mshtakiwa

d)

Karani

31.

Mshukiwa anapokamatwa na polisi hutiwa_______mikononi

a)

Minyororo

b)

Kamba

c)

Pingu

d)

Jela

32.

Adhabu anayopewa mshtakiwa aliyepatikana na hatia yaweza kuwa

a)

Kufungwa jela

b)

Kuachiliwa huru

c)

Kutiwa mbaroni.

33.

Ni kipi miongoni mwa vifuatavyo kisichotumika jikoni?

a)

Chano

b)

Fyekeo

c)

Buli

d)

Bilauri

34.

Jua huchomoza upande wa __________.

a)

Magharibi

b)

Kaskazini

c)

Kusini

d)

Mashariki

35.

Daftari la kuandikia lina umbo gani?

a)

Mche

b)

Kopa

c)

Mstatili

d)

Mraba

36.

Mtoto wa mjukuu wangu nitamwitaje?

a)

Mpwa

b)

kitukuu

c)

Kilembwe

d)

Kinying'inya

37.

Mnyama wa msituni anayefanana na nguruwe ni ________

a)

nyati

b)

kifaru

c)

ngiri

d)

swara

38.

Anayemsaidia daktari hospitalini kwa kuwapa wagonjwa dawa na kuhakikisha wamekula anaitwa _____________.

a)

tabibu

b)

mchuuzi

c)

msusi

d)

mwuguzi

39.

Ni nini hutumika pamoja na kinu kutwangia vitu jikoni?

a)

Mche

b)

Mbuzi

c)

Mchi

d)

Buli

40.

Ni vazi lipi huvaliwa na wanawake pekee?

a)

Kanchiri

b)

Suruali

c)

Koti

d)

Kizibao

41.

Rangi ya juu ya upinde wa mvua ni __________ .

a)

machungwa

b)

samawati

c)

nyekundu

d)

kijani

42.

Yupi kati ya wanyama wafuatao ni tofauti na wengine?

a)

Sokwe

b)

Kima

c)

Swara

d)

Tumbiri

43.

Samaki ni kwa maji kama vile ndege ni kwa ___________ .

a)

kombe

b)

kizimba

c)

mzinga

d)

kiota

44.
  1. Kati ya shughuli hizi, ni ipi huja ya kwanza?
a)

Kupanda

b)

Kulima

c)

Kupalilia

d)

Kuvuna

45.

Kamilisha methali ifuatayo:

Usipoziba ufa utajenga ______

a)

dirisha

b)

Ufa

c)

Uta

d)

Ukuta

46.

Tegua kitendawili:

Daima yeye hunifuata niendapo

a)

Rafiki yangu

b)

Kivuli

c)

Mwangaza

d)

Upepo

47.

Fanana kama ______

a)

Pacha

b)

Marafiki

c)

Mama na bintiye

d)

Shilingi kwa ya pili.

48.

Jina lipi haliko katika ngeli ya LI-YA

a)

majiko

b)

makochi

c)

marubani

d)

marinda

49.

Onyesha kielezi:

mgonjwa wa malale alitembea polepole.

(a)  

50.

Onyesha kielezi:

paka amelala chini ya kitanda

(a)  

51.

Onyesha kielezi:

sadiki aliondoka jana

(a)  

52.

Huyu ni mnyama gani?

(a)  

53.

Utatumia kiunganishi kipi kuunganisha: Kamau __ Otieno?

a)

pia

b)

lakini

c)

kwa sababu

d)

na

54.

What is 1/2 (in Kiswahili)

a)

Nusu

b)

Moja na mbili

c)

tusui

d)

humusi

55.

What is 1/4

a)

Moja na nne

b)

Robo

c)

aslimia

56.

Mtoto umleavyo, _____________________________.

a)

ndivyo akuavyo

b)

ndivyo alalavyo

57.

Mwana akibebwa, hutazama ______________ cha nina.

a)

kisogo

b)

juu

58.

Mikate iliwekwa ____________ kabati.

a)

ndani ya

b)

ndani kwa

59.

Mtoto alilala _____________ mama yake.

a)

kando na

b)

kando ya

c)

kando pa

60.

Mpira uliwekwa ___________ uwanja, mchezo ukaanza.

a)

kati ya

b)

katikati ya

c)

katikati mwa