WorksheetsSungura 102 2
Total questions: 15
Worksheet time: 11mins
Name
Class
Date
1.
Hujambo?
a)
Sijambo
b)
Nzuri
c)
Poa
d)
Sijui
2.
Shikamoo?
a)
Maraba
b)
Marahaba
c)
Shikamoo
d)
Sijambo
3.
Habari gani?
a)
Nzuri sana
b)
Sijambo
c)
Kwaheri
d)
Poa
4.
Hawa watu wanafanya nini?
a)
Kwaheri
b)
Lia
c)
Salamu
d)
sijui
5.
Unaitwa nani?
a)
Mwalimu
Philip
b)
Caroline
c)
Mama
d)
Fiona
6.
Fiona anaishi wapi?
a)
Kenya
b)
Marekani
c)
Shuleni
d)
Sijui
7.
Fiona waambaje?
a)
Poa
b)
Sina la
Kuamba
c)
Marahaba
d)
Sijui
8.
Kwaheri
a)
Kesho
b)
Asante
c)
Kwaheri ya
kuonana
d)
Sijambo
9.
Lala salama
a)
Hujambo
b)
Pia nawe
c)
Poa
d)
Kwaheri
10.
Hii ni nini?
a)
Mama
b)
Baba
c)
Mtoto
d)
Gari
11.
Huyu ni nani?
a)
Baba
b)
Mama
c)
Mtoto
d)
Simu
12.
Hii ni nini?
a)
Gari
b)
Simu
c)
Kikombe
d)
Sahani
13.
Hii ni nini?
a)
Kikombe
b)
Gari
c)
Sahani
d)
Simu
14.
Fiona ako na miaka ngapi?
a)
1
b)
2
c)
5
d)
8
15.
La + la =
a)
Lili
b)
Lale
c)
Lala
d)
Lulu
100 %
