Font size
WorksheetsCHEMSHABONGO
Total questions: 20
Worksheet time: 16mins
Salamu Chewa zinajibiwa vipi?
Sadakta
Ewaah
Chewa
Marahaba
Ni neno lipi halifai kuwa katika orodha?
Shule
uzi
rula
meza
Je, Kifaa hiki cha jikoni kimepewa jina lipi la kweli?
kikaango
dohani
karo
mbuzi
Tarakimu 10,001 katika maneno ni ......
Elfu kumi na moja
Kumi elfu na moja
Moja elfu na kumi
Elfu mia moja na moja
Kamilisha kwa kuchagua nominojamii iliyo sahihi.
Mkutano wa shuleni ulihudhuriwa na ______ ya watu.
umati
genge
mkusanyiko
halaiki
Iwapo leo ni Jumanne, Keshokutwa itakuwa siku gani?
Alhamisi
Jumatatu
Jumapili
Jumamosi
Jana ilikuwa Jumapili tarehe saba. Je, mtondo itakuwa siku gani na tarehe gani?
Ijumaa tarehe kumi
Alhamisi tarehe kumi na moja
Jumamosi tarehe kumi na moja
Jumanne tarehe tano
Miaka mitano ina miezi mingapi kwa jumla?
Miezi tisini
miezi sabini
miezi kumi na miwili
miezi sitini
Taja jina sahihi la kifaa hiki cha teknolojia.
hadubini
kiyuweo
kasoko
darubini
Tambua jina la kifaa hiki cha teknolojia
Hadubini
Kasoko
kiyuweo
darubini
Salamu Chewa zinajibiwa vipi?
Sadakta
Ewaah
Chewa
Marahaba
Lishe bora huzingatia aina tatu za vyakula pamoja na kunywa maji. Je, nyama ya kuku ni aina gani ya chakula?
Wanga
Protini
Vitamini
mafuta
Chagua viteuzi ambavyo ni nominojamii sahihi.
Mlolongo wa magari
Msitu wa miti
Genge la wezi
Tone la hewa
Chagua maelezo ambayo yanafaa fasihi simulizi.
Ni miliki ya jamii
Huwasilishwa kwa kusoma
Huwa imeandikwa katika vitabu
Hadhira yake si hai
Mtu ambaye huandika na kumiliki fasihi katika kitabu kama vile novela huitwa ____
Mhusika mkuu
Mchapishaji
Mwandishi
Msomaji
Kuna aina mbili za fasihi. Fasihi andishi na fasihi (a)
Alama ya kuakifisha ambayo hutumiwa kuonyesha mwisho wa sentensi huitwa vipi?
(a)
Chagua kiteuzi ambacho kimeakifishwa visivyo.
S.L.P.
10,02,2024
Nairobi
Bw. Kenga.
Jina jingine la barua ya kirafiki ni _____
barua ya kikazi
barua ya kindugu
barua ya kijamii
barua ya kidugu
Chagua maelezo yaliyo ya kweli.
Barua ya kirafiki ina anwani mbili.
Barua ya kirafiki haina anwani hata moja
Barua ya kirafiki haina salamu
Anwani ya barua ya kirafiki ni ya mwandishi wa barua yenyewe
