wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

KIAMA NA JOANNA

Total questions: 10

Worksheet time: 18mins

Name
Class
Date
1.

Chagua nomino ambayo inapatikana katika ngeli ya A-WA

a)

Nguo

b)

Nyumba

c)

Kobe

d)

Nyama

2.

Chagua wingi wa nomino KARATASI

a)

karatasi

b)

makaratasi

c)

vikaratasi

d)

nyarasi

3.

Kanusha sentensi hii.

Mama anapika chakula.

a)

Mama hakupika chakula.

b)

Mama hapiki chakula.

c)

Mama hatapika chakula

d)

Mama hajapika chakula.

4.

Taja jina la kifaa hiki cha jikoni.

a)

Jokofu

b)

Sinia

c)

Seredani

d)

Kinu na mchi

5.

Chagua jibu ambalo ni kiungo cha upishi.

a)

mchele

b)

nyama

c)

machungwa

d)

pilipili

6.

Kamilisha methali hii..

Asiyesikia la mkuu __________________.

a)

huvunjika guu.

b)

hupata shida.

c)

huharibu maisha.

d)

ni mtoto mtukutu.

7.

Kamilisha methali hii..

Haraka haraka ________

a)

ina baraka.

b)

huona makuu.

c)

haina baraka.

d)

ndio baraka.

8.

Je, ni chakula kipi ambacho ni protini?

a)

b)

c)

d)

9.

Andika wingi wa nomino MARASHI

(a)  

10.

Kamilisha tarakimu kwa maneno. Zingatia ngeli ya nomino.

MAEMBE 13 YAMEIVA.

a)

Maembe kumi na mitatu yameiva.

b)

Maembe kumi na matatu yameiva.

c)

Maembe kumi na tatu yameiva

d)

Maembe makumi na tatu yameiva.