USHAIRI

USHAIRI

9th - 12th Grade

12 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Latihan PTS bahasa Jepang

Latihan PTS bahasa Jepang

10th Grade

15 Qs

Bahasa Jepang Kelas X

Bahasa Jepang Kelas X

10th Grade

15 Qs

Kyoushitsu

Kyoushitsu

11th Grade

15 Qs

Kisetsu

Kisetsu

12th Grade

10 Qs

YEAR 9 SWAHILI

YEAR 9 SWAHILI

8th - 9th Grade

17 Qs

Greetings Numbers Name Age

Greetings Numbers Name Age

7th - 9th Grade

15 Qs

Jikoshoukai

Jikoshoukai

10th - 12th Grade

15 Qs

Kiswahili Quiz 1

Kiswahili Quiz 1

9th - 10th Grade

10 Qs

USHAIRI

USHAIRI

Assessment

Quiz

World Languages

9th - 12th Grade

Hard

Created by

Derick Lugaye

Used 4+ times

FREE Resource

12 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 5 pts

METHALI NI NINI?

Ni Semi fupi ambazo hueleza kwa muhtasari au mafumbo ukweli fulani wa kimaisha.

Ni Semi ambazo hutolewa kwa mtu kwa mfano wa swali ili azifumbue.

Ni Maswali ambayo huhitaji mtu kutumia akili na ujuzi kuyajibu

Majibu yote ni sahihi

Hamna jibu sahihi

Answer explanation

Methali ni Semi fupi ambazo hueleza kwa muhtasari au mafumbo ukweli fulani wa kimaisha.

2.

OPEN ENDED QUESTION

3 mins • 5 pts

Andika methali mbili  kisha utaje tamathali za usemi zilizoziunda?

Evaluate responses using AI:

OFF

3.

MULTIPLE SELECT QUESTION

1 min • 5 pts

BAHARI ZIPI KATI YA ZIFUATAZO ZINATOKANA NA MGAO WA VIPANDE

UTENDI

MATHNAWI

UKAWAFI

UKARA

Answer explanation

UKARA NI BAHARI KUTOKANA NA VINA

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 5 pts

IPI SI BAHARI KUTOKANA NA VINA

MTIRIRIKO

UKARA

UKARAGUNI

MAVUE

Answer explanation

MAVUE NI BAHARI KUTOKANA NA VIPANDE, HUWA NA VIPANDE VINNE

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

______NI BAHARI AMBAYO NENO HURUDIWA MWANZONI/MWISHONI MWA KILA MSHORORO

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

_____NI BAHARI AMBAYO UTAO WA MSHORORO WA MWISHO NI UKWAPI WA MSHORORO WA KWANZA

Answer explanation

UPINDE/PINDU/MKUFU NI BAHARI AMBAYO UTAO WA MSHORORO WA MWISHO NI UKWAPI WA MSHORORO WA KWANZA

7.

OPEN ENDED QUESTION

1 min • 5 pts

TAJA AINA MBILI ZA MISHORORO KATIKA USHAIRI

Evaluate responses using AI:

OFF

Answer explanation

MISHATA NA MISTARI KIFU

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?