
MASWALI UKAGUZI - LUCAS 1
Authored by Hilary Andrea
Social Studies
12th Grade

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
10 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
1. Ukaguzi wa hesabu za chama hufanywa na Mkaguzi wa Nje(External Auditor) aliyeteuliwa na kuthibitishwa na Mkutano Mkuu na kutoa taarifa mara ngapi kwa mwaka?
a) Mara tatu
b) Mara nne
c) Mara moja
d) Mara mbili
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
2. Taarifa za ukaguzi wa ndani huwasilishwa kwa Uongozi wa chama mara ngapi kwa mwaka ?
a) Mara tatu
b) Mara nne
c) Mara moja
d) Mara mbili
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
3. Kuna aina ngapi za hati za ukaguzi?
a) Moja
b) Tatu
c) Mbili
d) Nne
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
4. Uchunguzi/uhakiki unaofanyika kwa kuzingatia matakwa ya sheria, kanuni, viwango(Stds), mikataba ,maazimio au waraka maalumu ujulikana kama:-
a) Utafiti
b) Ukaguzi
c) Uchambuzi
c) Uchambuzi
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
5. Moja ya kigezo hakihusiani na ukaguzi wa taarifa za fedha.
a) Masharti ya chama
b) Sheria na kanuni za ushirika
c) Sheria ya Taasisi za huduma ndogo za fedha 2019,
d) Mikopo ya FOSA na BOSA
e) Viwango vya uhasibu vya kimataifa.
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
6. Taarifa ya ukaguzi wa hesabu za Tanesco saccos zinazoisha tarehe 31.12.2022 inaonesha :-
a) Hati inayoridhisha ,
b) Hati yenye mashaka
c) Hati mbaya
d) Kushindwa kutoa
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
7. Hutolewa pale mkaguzi anapokuwa amepata vielelezo vya kutosha kuonesha kuwa taarifa za fedha kwa kiasi kikubwa zina makosa; na zikiangaliwa kwa ujumla wake zinakuwa hazikufuata viwango vinavyokubalika vya uandaaji wa taarifa za fedha.
a) Hati inayoridhisha
b) Hati yenye mashaka
c) Hati mbaya
d) Kushindwa kutoa maoni
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?