
JARIBIO LA DARASA LA 13 SOMO TAWHEED
Authored by mohamed hamisi
Religious Studies
1st Grade
Used 1+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
10 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
5 mins • 10 pts
Aina za Tawheed ni
Tatu
Nne
Mbili
Saba
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
5 mins • 10 pts
Maana ya Tawheed kisheria ni
Kumpwekesha Mtume kwa kutuata maelekezo yake yote
Kumpwekesha Allah kwenye Sheria zake tu
kumpwekesha Allah katika kumwabudu kwake
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
5 mins • 10 pts
Elimu imegawanyima vigawanyo
Viwili
Sita
Vinne
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
5 mins • 10 pts
Ni kitendo cha kukifahamu jambo katika ufahamu ulio sahihi.
Busara
Elimu
Hekima
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
5 mins • 10 pts
Tambua,"Mwenyezi mungu Akurehemu" Hakika Tawheed
Ni Kushikamana na mafundisho ya Maswahaba
Ni Kushikamana na Toba na Dua
Ni kumpwekesha Allah
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
5 mins • 10 pts
Elimu ipo kwenye matabaka sita
Kweli
Si kweli
Inategemeana na aina ya elimu
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
5 mins • 10 pts
Al-Wahamu Ni kitendo cha kufahamu kitu pamoja na kukitilia umuhimu kikawa kinyume na matarajio
Kweli
Si kweli
Maelezo yamekosewa
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?