WorksheetsThemiDay1
Total questions: 5
Worksheet time: 3mins
Kwa nini uwe mwalimu?
Ni fani nzuri na huniwezesha kupata mahitaji binafsi kadhalika na ya familia.
Kushirikisha watu wengine wito wangu
Kutangamana na wanafunzi
Kutoa mchango kwa jamii yangu
Yote hayo kwa pamoja
Unadhani ni kitu gani adhimu ambacho Stephen Fry anadai kwamba takribani kila mwalimu anacho?
Ubinafsi
Kujikana nafsi zao
Wito wa kitaaluma
Dhamira ya kufanya mabadiliko duniani
Unadhani mbinu shirikishi ni nini?
Mbinu rahisi ya kufundisha
Mbinu iliyokitwa kwenye mahitaji ya kila mwanafunzi
Mbinu iliyokitwa katika kufundisha mada au mada ndogo moja kwa wanafunzi wote
Mbinu inayozingatia kuwatayarisha wanafunzi katika maisha yajayo yasiyoyakinika
Majibu namba mbili na nne hapo juu
Ni yapi matarajio yako katika warsha hii?
Njia za kuwatayarisha wanafunzi watakao mudu changamoto za karne ya ishirini na moja
Stadi bora zaidi za ufundishaji
Njia za kisasa za ufundishaji na upimaji
Kuboresha hali ya kujiamini
Unadhani dunia ingekuwaje pasi na walimu?
Hapangekuwa na ustawi wa dunia.
Ujinga ungetamalaki ila ustawi ungekuwepo.
Mazingira yangeamua kutoa majibu ya maswali ya binadamu.
Binadamu hawangeishi.
