WorksheetsGeneral Kiwahili quiz on Ngeli, uakifishaji and aina za nomino
Total questions: 16
Worksheet time: 11mins
Neno "Uji" liko katika ngeli gani?
(a)
Jaza mapengo yafuatayo:
Vifaranga _ote (a) livuka barabara(umoja) _ingine.
Wingi wa neno "ubao" ni
bao
mbao
mibao
ubao
Nyanya (a) nauzwa(wingi)
Andika wingi wa sentensi lifuatalo:
Chai ya mtoto imemwagika.
(a)
Andika umoja wa sentansi ifuatayo:
Mabasi yale yalipeleka wanafunzi shuleni.
(a)
Nomino "Stephanie" ni aina gani ya nomino?
Nomini ya kawaida
Nomino maalum
Nomino Dhahania
Nomino wingi
Chagua nomino ya kawaida kati ya hizi
mpira
Nairobi
Jumamosi
Michelle
Akifisha sentensi ifuatayo jinsi inavyofaa:
mwalimu alimwita musa na kumtuma bwaloni
(a)
Chagua matumizi sahihi ya alama ya kikomo
Kuandika tarehe
Kuuliza maswali
Kuonyesha mshangao
Kuandika orodha
Wingi wa neno "safari" ni
safiri
safari
mashauri
mashauri
Nomino "Kilimanjaro" ni aina gani ya nomino?
Nomino wingi
Nomino Dhahania
Nomino maalum
Nomini ya kawaida
Ngeli ya A-WA
Ni ngeli ya vifaa
ni ngeli ya udogo wa majina
Ni ngeli ya viumbe wenye uhai
Hakuna ngeli kama hii
Neno lipi halipo katika ngeli ya KI-VI?
Kijiti
Chupa
Chombo
Kioo
Maneno mengine katika ngeli ya KI-VI huanza kwa /CH/ katika umoja na /VY/ katika wingi.
Si kweli
Kweli
Karatasi_____iliraruliwa
chote
wote
yote
vyote
