WorksheetsNicole-Wiki ya pili
Total questions: 15
Worksheet time: 15mins
Name
Class
Date
1.
Nambari hii husomwaje kwa maneno? 27
(a)
2.
Mtu akikusalimu "hujambo" utasemaje?
(a)
3.
Ndege anayefugwa nyumbani na hutupa mayai huitwaje
(a)
4.
Tunda hili linaitwaje?
(a)
5.
Mnyama huyu wa pori anaitwaje?
(a)
6.
Rangi ya nne ya upinde huitwaje?
(a)
7.
Sehemu ya kuoshea mikono na vyombo jikoni huitwa nini?
(a)
8.
Huyu anafanya nini?
(a)
9.
Kifaa hiki kinaitwaje?
(a)
10.
Unadhani mtoto anafanya nini hapa?
(a)
11.
Mtoto wa kuku huitwaje?
(a)
12.
Ukiambiwa kwaheri, nawe utasemaje?
(a)
13.
Ukisalimiwa "Habari yako?" utasema...
(a)
14.
Kiungo hiki kinaitwaje?
(a)
15.
Baba anafanya nini hapa?
(a)
100 %
