wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Weekend assignment-Kiswahili

Total questions: 20

Worksheet time: 40mins

Name
Class
Date
1.

Chagua kisawe cha neno jela

a)

Mahakama

b)

Gereza

c)

Husuni

d)

Rumande

2.

Mtu anayeshukiwa kufanya uhalifu wowote huitwa?

a)

Mtuhumiwa

b)

Mwizi

c)

Mhalifu

d)

Mshtakiwa

3.

Jibu maamkuzi haya: Hujambo?

a)

Njema

b)

Sijambo

c)

Nzuri

d)

marahaba

4.

Wakati unapotaka kusaidiwa na mtu, unatumia neno gani la adabu kuomba?

a)

Tafadhali.

b)

Asante

c)

Bwana

d)

Bibi

5.

Herufi za lugha ya Kiswahili ni ngapi?

a)

28

b)

26

c)

30

d)

25

6.

Tuna Irabu ngapi katika lugha ya Kiswahili?

a)

6

b)

7

c)

8

d)

5

7.

Neno "nyundo" lina herufi ngapi?

a)

6

b)

7

c)

5

d)

2

8.

Mpwa atafika nyumbani kesho.

a)

Wapwa watafika nyumbani kesho.

b)

Mpwa watafika nyumbani Kesho.

c)

Mpwa amefika nyumbani kesho.

d)

Wapwa walifika nyumbani kesho.

9.

Mzazi amekuja shuleni.

a)

Wazazi walikuja mashuleni.

b)

Wazazi watakuja shuleni.

c)

Wazazi wamekuja mashuleni.

d)

Wazazi wamekuja shuleni.

10.

Kipi kati ya hivi si kiungo cha mapishi?

a)

bizari

b)

ndizi

c)

pilipili

d)

kitunguu

11.

Geuza katika wingi: Mkate nilioula ulikuwa mtamu.

a)

Mikate tulizozila zilikuwa tamu.

b)

Mikate niliyoila ilikuwa mitamu.

c)

Mikate tuliyoila ilikuwa tamu.

d)

Mikate tuliyoila ilikuwa mitamu

12.

Mtoto wa chui huitwaje?

a)

shibli

b)

kinegwe

c)

kisui

d)

kiluwiluwi

13.

Mpanda ngazi.......

a)

huanguka

b)

hushtuka

c)

Hushukishwa

d)

Hushuka

14.

Ukicha mwana kulia....

a)

Utalia sana

b)

utaumia

c)

utapata shida

d)

utalia wewe

15.

Nyanya ni fisi inamaanisha?

a)

Mkali

b)

Mlafi

c)

Mrefu

d)

Mnene

16.

Mwanafunzi yule ni mkia wa mbuzi

a)

Mfupi

b)

Mkaidi

c)

Mwembamba

d)

Mchoyo

17.

Viatu vizee vina matope - Neno lipi ni kivumishi

a)

viatu

b)

vizee

c)

vina

d)

matope

18.

Tambua kivumishi:

John amenunua nyumba zingine.

a)

John

b)

amenunua

c)

nyumba

d)

zingine

19.

Onyesha kielezi:

Mwanafunzi mtiifu aghalabu hufuzu aushi

a)

aghalabu

b)

mtiifu

c)

mwanafunzi

d)

hufuzu

20.

Onyesha kielezi:

mgonjwa wa malale alitembea polepole.

a)

mgonjwa

b)

malale

c)

alitembea

d)

polepole