wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili gredi ya kwanza

Total questions: 15

Worksheet time: 8mins

Name
Class
Date
1.

Shikamoo?

a)

Salama

b)

Sijambo

c)

Marahaba

2.

U hali gani?

a)

Vyema

b)

Njema

c)

Sijambo

3.

Hamjambo?

a)

Hatujambo

b)

Sijambo

c)

Poa

4.

Umeshindaje?

a)

Marahaba

b)

Sijambo

c)

Vyema

5.

________hupatikana darasani

a)

Kijiko

b)

Jembe

c)

Chaki

6.

________hutumika kufuta kwenye ubao.

a)

Chaki

b)

Kifutio

c)

Kichongeo

7.

Sisi huweka madaftari yetu kwenye_______

a)

Dawati

b)

Mfuko

c)

Kichwa

8.

Tenganisha silabi za neno hili:

Mwalimu

_______________

a)

M-wa-limu

b)

M-wa-li-mu

c)

Mwa-li-mu

9.

Andika kwa herufi kubwa:

Chakula

a)

CHAKuLa

b)

CHAKULA

c)

cHAKULA

10.

Andika kwa herufi ndogo:

Kitabu

a)

KitAbu

b)

kitabu

c)

KITabu

11.

Kamilisha silabi.

Ba ___. Bi. Bo. Bu

a)

Ba

b)

Bu

c)

Be

12.

Jaza pengo:

Mp__ra

a)

O

b)

U

c)

I

13.

Unganisha silabi kuunda neno:

Mwa-na-fu-nzi

a)

Mwanafunzi

b)

Mwana-funzi

c)

Mwa-na funzi

14.

Unda neno kutokana na silabi:

Sha___________

a)

Shimo

b)

Shuka

c)

Shati

15.

Unda neno kutokana na sauti:

/Ch/

____________

a)

Shuka

b)

Chai

c)

Shule