Wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Matumizi ya Lugha

Total questions: 15

Worksheet time: 28mins

Name
Class
Date
1.

Idadi ya silabi katika mshororo au ubeti huitwa

(a)  

2.

Kamilisha methali:Kazi mbi (a)  

3.

Msemo 'tia shime' unamaanisha

(a)  

4.

Jibu la salamu hii ni:

Buheri (a)  

5.

Fumbua fumbo lifuatalo.

Ni nini ambacho kinatembea lakini hakiwezi kukimbia?

(a)  

6.

Wakati kuanzia saa sita mchana hadi saa nane hujulikana kama

(a)  

7.

Ngome ya Yesu katika Jiji la Mombasa ilijengwa na (a)  

8.

Kutokana na kitenzi legea tunaunda sifa gani

(a)  

9.

Geuza katika hali ya udogo. Ndizi zilizoiva zote zipewe watoto.

(a)  

10.

Nyuki huishi mzingani nao jana huishi kwenye (a)  

11.

Ugonjwa unaoambukizwa na visalisali wa konokono ni

(a)  

12.

Andika kwa wingi:

Pua yake pana ina kamasi.

(a)  

13.

Baba anataka kununua gari la Mzee Mwinyi . Ili lisinunuliwe na mtu mwingine , baba anastahili kutoa

(a)  

14.

Mchai huzaa chai , nao mbuni huzaa

(a)  

15.

Paulo na Neema wameenda hospitalini. Sentensi iko katika wakati gani?

(a)